Swahili

Una haki ya kupokea huduma za tafsiri ya mdomo ama imeandikwa kwa bure. Ukihitaji msaada wa mkalimani au tafsiri, waarifu wanachama wafanyakazi. Tafadhali kumbuka kwamba Idara hairuhusu watu chini ya umri wa miaka 18 kutumika kama wakalimani. Ukiwa wewe hutaki mkalimani aliyetolewa na Idara, utahitajika kusaini hati ya kumkataa.